'Mimi ni VIP'Tazama alivyojiburudisha Jacque Maribe

Kidosho Jacque Maribe ako kwenye mapumziko ya kujiburudisha na wapenzi Njugush na mke wake Celestine Ndinda.

Watatu hawa walisafiri kuenda Samburu kujiburudisha .

Katika safari moja katika mbuga ya wanyama,Jacque Maribe alisema kuwa,kuna Ndovu mmoja ambaye aliwakimbiza wakiwa kwenye gari hilo la mbuga.

“WEUH, ELEPHANT IMETUKIMBIZA MAN! WALE WATU WALIKUA WAMESHTUKA NI AKINA NANI?

Alisema huku akiwapointi Njugush na Celestine.

Katika mtandao wa kijamii wa Instagram,Jacque aliandika kuwa ana furaha sana.

https://www.instagram.com/p/B37ehBbHuJx/

Zaidi ya hayo,alisema kuwa yaliyomfurahisha ni mambo madogo kama kutayarishiwa kiamsha kinywa kwenye mbuga na watu wema kutoka Ewaso Nyiro.

“It’s the little things in life…like bush breakfasts by the Ewaso Nyiro with great people.”Alisema.

Vilevile,alisema kuwa furaha ni idara na si mahali kwa hivyo,watu wanafaa kuchagua kuwa na furaha na si kuchagua mahali.

 “HAPPINESS IS A DIRECTION, NOT A PLACE. CHOOSE HAPPINESS.”