MAAJABU: Mkenya Afunga Pombe Mshipi Ndani Ya Gari, Marekani

rsz_pombe
rsz_pombe
Chambilecho wahenga, penye wazee hapaharibiki neno. Basi msemo mpya ambao tutaangazia tangia leo ni kuwa palipo na wakenya, hapakosi kicheko na furaha mpwitompwito.

Basi kisa kimoja kilichotokea marekani ambacho kilihusisha mkenya mmoja ambacho kiliwawacha askari polisi wa eneo la Massachusetts wamesuwaa.

Kulingana na uhondo wake Ghost Mulee, mkenya huyo ambaye anapenda kubugia mvinyo aliamua kubeba silinda nzima ya pombe ya aina ya bia, kando yake ndani ya gari lake. Isitoshe, jamaa huyo alifunga pombe hiyo mshipi ni kama ameketi na binadamu mwenza.

Pata uhondo kamili hapa.

&feature=youtu.be