Mkewe rapa King Kaka afunguka kuhusu kibao cha 'Wajinga Nyinyi'

Screenshot_from_2019_12_16_05_03_49__1576490670_18625
Screenshot_from_2019_12_16_05_03_49__1576490670_18625
Mkewe rapa King Kaka amefunguka kuhusu nyimbo ya mumewe ya 'Wajinga Nyinyi'.

Nana amemsifia mumewe kwa kudondosha kibao hiki na kwa kusimulia hali halisi ya mambo.

Ngoma ya Nana kwa sasa imefikisha views milioni 1 katika mtandao wa YouTube.

Kibao hiki kiliwakwaruza wanasiasa fisadi huku King Kaka akilaani vitendo viovu.

Wimbo huu unaeleza masaibu ya wakenya wanaopitia pamoja na hujuma ya viongozi.

 Katika wimbo huo wa dakika 6 na sekunde 57, King Kaka amezungumzia maovu yanayotendeka katika jamii.

"Na hiyo wiki ndo najua. Jirani yangu huwa Mjaka. Kamah kumbe huwanga Msapere. Hata salamu hatapata. Piga tu kura na utalala bila kula A night of tears...'