Mniache mie!!!! Saumu Mbuvi awaambia wanaomkashifu

65206150_181418566187003_8295962289677717870_n (1)
65206150_181418566187003_8295962289677717870_n (1)
Saumu mbuvi amewaonya wanaomkashifu baada yake kuendelea na maisha yake ya kibinafsi baada ya muda mfupi.

Saumu Mbuvi ni mtoto wake gavana wa Nairobi Mike Sonko. Saumu alikuwa na uhusiano wa kimapezi na mfanyabiashara maarufu. Saumu ana uhusiano wa kimapenzi na Senator Anwar Loitioip. Hivi karibuni, aliweka picha yao wawili wakiwa pamoja mtandaoni. 

Akijibu wakosoaji wake juu ya Instagram, na kusema,

 "Wanawake hao wanaokuja kwenye ukurasa wangu na kusema kuwa ninaruka kutoka kwa mwanaume mmoja hadi mwingine, wafanye hesabu zao vizuri."
"Unakuja kwenye ukurasa wangu ili kuandika maneno ambayo hayafai na kunisema kwa makundi tafadhali mwachane na mimi.  Hupendi kuona wanawake wengine
 Wanafanikiwa na kile unachofanya ni kutafuta wanaume sote hatukuzaliwa hivyo."

Soma mengi hapa