'Mtu wangu wa kipekee alizaliwa leo.' Rashid Abdalla amwandikia lulu ujumbe mtamu

Siku chache baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, hii leo amemwandikia mkewe Lulu Hassan ujumbe mtamu kupitia mtandao wa kijamii wa siku yake ya kuzaliwa.

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Lulu amekuwa akifanya kazi na mumewe Rashid Abdalla kila kuchao huku ndoa yao ikiwa ni ya kupigiwa mfano na wengi.

https://www.instagram.com/p/B_Vo8rcD-xL/

Bila kusita, mashabiki wake pamoja na wasanii kadhaa walifurika mitandaoni na kumtakia Lulu heri njema siku yake kuzaliwa.

Wawili hao wamekuwa katika ndoa kwa muda wa miaka kumi sasa, wamekuwa wakionyesha upendo wao hadharani hasa kwa mitandao ya kijamii licha ya changamoto huwa wanapitia kama wanandoa.

Hizi hapa baadhi za jumbe ambazo marafiki wake lulu walimtakia heri njema siku hii yake ya kuzaliwa.

:

Happy Birthday ❤️❤️

:

Haaaaaaaapy Birthday dear😘😘

:
 Happy Birthday jamani kipenzi chetu.... Shemeji yetu... 🙏🏽💯🙏🏽
:Happy birthday 🎉to your Queen🎂
:

Happy Birthday roho yake

:

Happy birthday Lulu, truly you are special to many👌 live long mummy.

Nasi kutoka kwetu wanajambo tunakutakia siku njema na yenye baraka ukisherehekea siku hii ya kuzaliwa.