babu

Muombeeni tafadhali! Mbunge Babu Owino hospitalini

Mbunge wa Embakasi Paul Ongili, Al maarufu Babu Owino aliweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii na alikuwa kwenye mashine ya kuangaliwa viungo vya ndani vya mwili.

Heshima yangu iko wapi? jaji mkuu achoshwa

Babu hakuwaambia mashabiki anaugua wapi wala hakusema dawa alizopewa ni za kutibu sehemu ipi ya mwili, hata hivyo mheshimiwa alisema kuwa ana matumaini ya kuiongoza nchi hii siku moja.

                 Naomba Mungu aniponye kwai lazima niiongoze nchi hii siku moja,” Aliandika kwenye mtandao wa Kijamii wa Facebook.

 

babu

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments