Nameless awatakia mamake, mkewe na ndugu zake siku njema ya kina mama

"Ahsante kwa kuwa mke wangu! " huo ndio ulikuwa ujumbe wa msanii Nameless, kwa mkewe Wahu, mamake mzazi na dada zake.

Leo ikiwa siku ambayo dunia nzima inaadhimisha siku ya kina mama duniani, watu mashuhuri wamejumuika na mashabiki wao kusherehekea wazazi wao.

Kwa upande wake, Nameless alituma fursa hiyo kuwasherehekea mkewe mamake mzazi na pia dada zake ambao tayari ni wazazi.

Soma ujumbe wake kwao:

To the special women around my life:

Happy mothers Day to my amazing MOM ,thank you for being my foundation ♥️🙏🏿. Happy mothers day to my blood-sisters, @rosemarymutunkei and @judyogana , amazing mothers to my nephews and neices ,thank you for being my support system🙏🏿👊🏾.Happy Mother's day to my WIFE @wahukagwi an amazing mother to my kids😊♥️ , thank you for being my life-partner😘😎🙏🏿💪🏾. Happy mothers day to my sisters-in-law, Njoki and Lucy amazing mother's to my nephews and nieces 😊, thank you for being my sisters in Love.♥️😊. You are all the ultimate blessings to your children! To my IG FAM, Happy mothers day to all the amazing mother out there♥️💯 ... Your gift and purpose of motherhood is a blessing to all of us. May wisdom continue guiding your steps in the most important job on earth👊🏾💪🏾🙏🏿.#HappymothersDay #QuarantineMothersDay

Tazama picha zifuatazo za Wahu, mamake mzazi na dada zake: