‘ Naweza kutumia mshahara wangu na mwanamume afaaye’ asema Carol Radull

Mmojawapo ya watangazi tajika katika spoti Carol Radull ana mengi ya kusimulia kuhusu maisha yake . Radull alizaliwa  na kukulia Botswana kabla ya kuja Kenya .

Tabasamu yake  imewavutia wengi na hasa kutoka Team mafisi ambao bila haya wamekuwa wakimmmezea mate malkia huyo wa redio . Maajuzi mwanamme kwa jina  Timo Sem  alimuandikia barua  Radull  akimtaka  waanze uhusiano kwa lengo la  kuanza upya maisha kwa sababu ya mshahara wake mkubwa . Alaindika ;

DEAR CAROL RADULL, MY NAME IS TIMO SEM, I AM ONE OF YOUR GREATEST ADMIRERS,

LISTENING TO YOU ON RADIO, YOU MAKE MY LIFE COMPLETE, YOU MAKE LIFE WORTH LIVING,

I KNOW YOU EARN A BASIC SALARY OF KSH.480,000 I EARN A SALARY OF KSH.20,000, SO BOTH OF US WE WILL BE EARNING KSH.500,000 ISN’T THAT GREAT?

I HOPE WE MEET AND PROVE IT TO YOU THAT AM THE ONLY FAITHFUL, HONEST AND LOVING MAN LEFT IN KENYA,

I HOPE THIS GETS TO YOU.

IF INTERESTED PLEASE INBOX ME,’ TIMO WROTE ON FACEBOOK.

Radull alimjibu  kwa kumuambia ajaribu kumtafuta mtu mwingine wa kuanza naye uhusiano .  Katika mahojiano  na Betty Kyallo amesema hana tatizo la kugawana mshahara wake na mwanamme anayefaa na anayempenda .

I’M NOT DATING THAT GUY WHO WANTED US TO SHARE MY SALARY. I ASKED HIM TO GO FIND SOMEONE ELSE,’   amesema radull

Huwezi kugawana mshahara wako? Betty aliuliza

OOH naweza kufanya hivyo na mtu anayefaa .

‘ Unaweza kutuma nauli ?’ Betty  alihoji

Radull  alijibu kwa kusema

I WOULD RATHER NOT BUT I CAN. IT DEPENDS ON THE CIRCUMSTANCES. I THINK ALL THOSE WOMEN WHO BELIEVE THAT IT’S A MAN’S ROLE TO DO EVERYTHING FINANCIALLY IN THE HOUSE FOR ME THAT’S NONSENSE. IN THIS DAY AND AGE, WE BOTH WORK AND HAVE TO HELP EACH OTHER.

Betty alipomuuliza  Radull iwapo anapanga kufunga pindu za maisha hivi karibuni ,alisema

NOT YET. I HAVEN’T BEEN ASKED SO I CANNOT ASSUME I’M GETTING MARRIED.