Nimsongeshe mbele ama? Lilian Muli ataka ushauri kwa mtu aliyechukua video ya gari lake

z3hk9kpTURBXy84ZjFjNzk5Y2M5M2RkMmUwMGVhMjhiYjBlYjcxMGFkYi5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
z3hk9kpTURBXy84ZjFjNzk5Y2M5M2RkMmUwMGVhMjhiYjBlYjcxMGFkYi5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Mwanahabari wa runinga ya Citizen Lilian Muli amechoshwa na mtu ambaye alichukua video na kumtumia rafiki wa karibu sana naye. Kwa mara ya pili mwanamke huyo alichukua video tena na kufanya kitendo hicho.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, Lilian alitaka kupewa ushauri vile ambavyo atamfanyia mwanamke huyo kwa maana anapotuma video na picha hizo anasema kuwa anafanya mambo mabaya ila anakula chakula katika hoteli.

“Yesterday the same woman happened to spot my car again took a video and sent it to the very same person again. Still with malicious intent. Now don't get me wrong what people do with their phones is their business however is it right for someone to infringe on my personal privacy in this way? Isn't this criminal? I would also like to expose the person here because this is the second time they are doing this and I am extremely offended. I also would not like this person to continue doing this to innocent people. Share your thoughts. Nimsongeshe mbele ama? I am seriously very disturbed."

Haya yanajiri tena siku chache baada ya kumkemea mwanamke huyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kitendo hicho alichokifanya.