Ninapotaka kujiua msichana wangu huwa anatokea - Njambi

Muigizaji Njeri Gachomba ambaye anaigiza katika kipindi cha House helps of Kawangware almaarufu Njambi, ameweza kuweka wazi vile ameweza kupigana na mawazo tangu alipokuwa na miaka 15.

Njambi huwa anapendwa kwa tabia yake ya kuburudisha, lakini si wote wanajua nyuma ya tabasamu na kicheko chake ni mwanamke ambaye anapigana na changamoto zote ili kupata mwelekeo.

Aliweka picha katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram na kuandika ujumbe kuwa hiyo picha aliichukua wakati alipopoteza kila kitu alikuwa anasema ni chake.

"Nakumbuka picha hii niliweza kujipiga wakati kila kitu ambacho nilikuwa nimefanyia kazi kiliweza chukuliwa,

"Nilikuwa nimeketi kwa ngazi walipokuwa wakichukua kila kitu kutoka kwa nyumba yangu, mama yangu alikuwa na mawazo mengi na ndugu yangu @kenyan-twist kwa kawaida alikuwa ananifurahisha,

"Nakumbuka vile alikuwa ananiambia kuwa nilikuwa na bafu yangu katika nyumba yangu ya kulala na sasa nitaanza kutumia choo na kila mtu." Alieleza Njambi.

Aliongeza na kusema kuwa alisikia kuwa maisha yake yamefika mwisho, na kusema Tamara mtoto wake aliporudi kutoka shule aliuliza bidhaa zao zi8ko wapi hasa vitu vyake vya kuchezea (toys).

Njambi aliongeza na kusema vile alivyopigana na shida ya mawazo ya akili.

"Anyway, It wasn’t supposed to be a long post but anyways since am half way……

Can I just say something about depression and how sad it is that young people are ending their lives because of love, money and jobs.

I tell people life is never that serious, you loose some you gain some ..

I’ve been depressed since I was 15yrs I had family drama, I had self esteem, I felt unloved, unwanted, I felt like I meant nothing to anyone,

I’ve tried it all taking pills, countless times I’ve tried to commit suicide, I’ve wanted to jump off my balcony a million times.

I’ve scars coz I used to cut myself…. But every time I try shit, there comes Tamara complaining about something I said I’ll do and I didn’t.” Njambi alisema.

Aliendelea na kusema..

"If you ever feel depressed and you feel like you want to end your life please find a purpose, every one has a purpose for living,

I think the reason am still alive am still surviving is because of someone somewhere who is going through a lot and has no one to talk to, my DM is always open.

I understand, I know how it feels to be worthless, to have self esteem, to feel unloved I know… I am where you’re…. I get tattoos or piercings just to numb my pain…

 I don’t know why I find pleasure and comfort in pain….. And to friends please check up on your person. We depressed people don’t know how to talk, how to talk about our problems .

We might look alright but deep down we’re dying. I know I smile alot, I joke alot but when I am alone, I am empty. Plus, depression is making me so fat 🙊🙊." Aliongeza Njambi.