''Nitakusaidia kukula pesa''Huddah ataka kuwa mpango wa kando wa Kipchoge

huddah
huddah
Amini Usiamini, katika mtandao wa kijamii wa Instagram binti Monroe aliandika ujumbe wa kuwaomba mashabiki wake wamuunganishe na bingwa Eliud Kipchoge ili amsaidie kutumia pesa alizoshinda.

Katika posta nyingine alisema kuwa anataka kuona kama Eliud ni bingwa wa mbio katika 'sekta nyingine' yaani sekta ya michezo ya chumbani.

 Kidosho Monroe aliandika ujumbe huu siku moja tu baada ya kukamatwa kwa sababu ya kuendesha gari akiwa mlevi.
Monroe alilala kwenye kituo cha polisi usiku wote.

''Nitakusaidia kukula pesa''Huddah ataka kuwa mpango wa kando wa Kipchoge