Onyo!! Akothee aonya wasichana wake dhidi ya mimba za watu mashuhuri

Mwanamziki Akothee ameweza kujulikana sana na mashabiki wake, licha ya kuwa mwanamziki ameweza kuwa mama ambaye amekuwa akiwashauri watoto wake ili waweze kuenda kwa njia ipasayo.

Katika ujumbe ambao aliweza kueka katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram ilionyesha majuto ya kujulikana na watu mashuhuri yaani kwa kimombo (Celebrities).

Jambo ambalo lilimfanya awe mama akiwa bado kijana mdogo.

Mwanamziki anafahamika kama rais wa kuwalea watoto peke yake yaani (president of single mothers) aliweza kukosolewa na mshabiki wake picha zake zilipoenea katika mitandao.

Kwa sasa ametoka huko na ameanza kuwashauri wasichana wake jinsi ya kukaa katika uhusiano wao na wapenzi wao.

Aliweza kuweka katika mtandao wake wa kijamii na kuandika kuwa...

“Age is now separating us 😭😭, I don’t want to let you go my best friends, just know that wherever you go whatever you do, discipline is paramount.

Never settle down for a man who doesn’t love you, never force yourself into toxic relationships.

Never wait for any man to pay your bills they will hold you ransom, never listen to a man who asks you to have a child without a stable income, that’s a story teller .”

Hakuweza kutia kikomo aliweza kuwashauri kuwa wasiweze kumpenda mwanaume ambaye ana waambia wafanye ngono kwa sababu anataka mtoto na anawapenda.

Huku akiandika tena na kuwashauri...

“A responsible man who wants a family, should first look for a stable job and a roof over his head.

How would you get pregnant for a man living with his brother, mother auntie, you think you and the baby are welcome too?

Don’t fall for celebrities , fame comes and goes , don’t come bragging to me that you are carrying a celebs pregnancy simply because he is famous.

I will beat you up and squeeze that stomach , you know me ,🤯 fame doesn’t pay bills , don’t mess your life at an early stage !”

Pia aliweza kumshauri msichana wake aweze kuwa na subira kwa wanaume ili asije pata watoto wa baba tofauti kama yeye.

“I am your mother and in my mid thirties I am still hot 🔥🔥, I choose who to date I am never picked.

Just giving you 2 more years and then I start living my life and enjoying my life with the love of my life.

How I wish I was a bit patient I would not have landed into so many multi-failed relationships , please don’t end up like me with several dads .

I don’t think you are brave enough to face & tackle 3 men , women cry for 1 man for years Akothee is here with supermarkets of baby daddies 🤣😂🤣😂.

It looks funny but it needs a sobber mind and a risk taker, 😷 life must continue my love 

That boy whispering in your ears ” I need a baby , because I love you ” is lying he is horny he just wants sex ,   “

Ni wazi kuwa mwanamziki huyo anawatakia watoto wake maisha mema.