PATANISHO: Bwanangu Alidanganywa Kuwa Natongozwa Na Wanaume Kanisani

Pauline alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe Collins.

"Tulikosana na mume wangu mwezi wa nane kwani tulikosania jambo moja kuwa marafiki wake walimueleza kuwa natongozwa na watu wa kanisani.

Nikimuongelesha hataki kuskia anaanza kunichapa akidai kuwa dadangu alimueleza kuwa nina mume mwingine. Hapo nikakasirika na nikatoka na isitoshe alinitusi kuwa nafaa kwenda kuoleka kwa mamangu." Alijieleza Pauline.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be