PATANISHO: Mimi Na Mke Wangu Tulikunywa Damu Yetu Mwingine Kumaanisha Hatutatengana

Kyalo alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Nduku ambaye wameoana miaka minane sasa, akidai kuwa ameshindwa naye na angependa kumuuliza mkewe mpango wake ni upi kwani alimpata na mpango wa kando na aliondoka na watoto wao.

"Huyu ni mke wangu wa pili na mimi mwenyewe wakati tulipatana aliniambia nimuoe lakini nikamwambia siwezi kwani wakati huo nilikuwa na wake wawili, na nikamweleza kuwa ile vita nimepigwa na mke wa pili staki mambo ya wanawake.

Sasa baada yetu kuoana alirudi kazini na huko ndipo alianza uhusiano na jamaa flani kwani niligundua kupitia ujumbe." Alieleza Kyalo huku akidai wawili hao walijikata mikono na kunywa damu kumaanisha kuwa hawatawahi tengana.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be