PATANISHO: Mimi Ni Mke Wa Tatu Na Bwana Yetu Ametuhepa Sisi Wote

Faith alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe bwana Hussein.

"Mzee wangu ametoroka tu kwa nyumba na sijui mbona.

Alinidanganya kuwa amesafiri kikazi hadi Homabay mwezi wa tisa na hadi wa leo hajarudi nyumbani. Nampigia simu hashiki na isitoshe ameniwacha na mimba ya miezi minane." Alijieleza Faith akidaia kuwa yeye ni mke wa tatu na isitoshe wake wote wawili hawaongeleshi.

"Nilikuwa nimeelekea mahali kazi lakini shida ya kimapato ndio imenikumba kwani hali ya uchaguzi ndio imeharibu kazi kidogo. Wakati mwingine simu yangu huleta shida." Alijieleza Hussein.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be