PATANISHO: Mke Wangu Alikuwa Akishiriki Ngono Na Mjomba Wake

Enock alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Divina ambaye wamekaa pamoja kwa mwaka mmoja na miezi minne.

Kulingana naye, wawili hawa hawana watoto pamoja lakini kila mmoja aliingia kwa ndoa na watoto.

Akisema kuwa mkewe kila jumaa alikuwa akidai kuwa anaelekea nyumbani kuona watoto wetu na kumbe alikuwa anaelekwa kushiriki ngono na mjomba wake.

"Kumbe akiondoka nyumbani alikuwa wanakutana katika hoteli fulani na baada ya mlo wanaondoka hadi lodging ambapo wanatekeleza mapenzi yao. Nilikuwa natumiwa picha za wao wawili na ndugu yangu.

Nilipompigia simu kumueleza awache kuniharibia boma mzee akadai kuwa kabla nimchukue kama mke wangu alikuwa mpenziwe tangia kitambo. Isitoshe alianza kunitishia." Aliongeza Enock.

"Ilifikia mahali yule jamaa akaniambia kuwa huenda atanidunga kisu. Isitoshe huyo jamaa alimtoa mke wangu kwa nyumba na kumkodishia nyumba kama mita mia moja kutoka kwetu nyumbani."

Alipopigiwa simu bi Divina, alikiri kuwa Enock alikuwa bwanake lakini waliwachana akidai kuwa alikuwa na maneno mengi na hapo akaamua kurudi nyumbani.

mwambie alikuwa na bibi mwingine aende amtafute aishi naye kwani ana maneno mengi sana kabla ya kukuta mawasiliano pindi tu walipozungumza na Enock.

Alipopigiwa simu tena matusi yalitamba kati ya wawili hao.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be