patanisho.000

PATANISHO: Mpenzi wangu ananitenga licha ya kuahidi kunioa

Grace, 33, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na Evans, 45, akidai kuwa anampenda sana na isitoshe anaweza peana maisha yake kwa ajili ya mpenziwe.

“Tulikuwa tunaishi vizuri halafu akafika mahali haji nyumbani, Vihiga mara hashiki simu zangu. Alikuwa anakuja week days nami naenda kwake wikendi.” Alieleza Grace ambaye wamekuwa kwa uhusiano wa karibu mwaka mmoja.

Mwandishi afungwa kwa kushiriki ngono nje ya ndoa

Grace anasema kuwa mpenziwe ana mke tayari na alikuwa amemuahidi kuwa atamuoa na alikuwa amepanga kukutana na atakaye kuwa mke mwenza.

Hata hivyo hatukuweza kuzungumza na mzee Evans kwani alikuwa kazini na ikalazimisha kukatisha kitengo cha Patanisho.

Je ungempa Grace mawaidha yepi?

Ligi ya Europa: Makali ya Pepe yaokolea Arsenal

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments