PATANISHO: Mume wangu ana tabia za kujibu simu yangu

Bwana Julius aliomba apatanishwe na mkewe bi Murugi.

Shida ilianza December wakati nilichukua simu yake alipopigiwa na nikapata aliyekuwa anampigia anaitwa 'Mine' sasa nikaanza kuchunguza yule mine ni nani.

Sasa nikatumia ile number na nikapata jina lake kamili na nikampata Facebook. Sasa nikapata wamepiga picha na yule mwanaume na mtoto wangu wakiwa wameshikana.

Nilikuwa na shida ya kunywa pombe na nikawacha, kumuuliza yule jamaa ni nani anadai kuwa yule jamaa ni treasurer wa chama yao. Tukaendelea kukosania ile maneno." Aliongeza akidai mkewe aliondoka na kwenda Nairobi.

Alipopigiwa simu bi Murugi alidai kuwa mumewe alidanganya kwa usimulizi wake akidai kuwa mumewe ana tabia ya kujibu simu zake.

"Tabia yake ni kuchukua iyo number aiweke kwa simu yake hata anaweza kutumia M-pesa ili apate details na sasa hiyo ndio itakuwa chanzo cha kukosana kila kitu.

Yeye hajakuambia hata amekuwa akinipiga. Nimekuwa tu nikimvumilia na mambo mengi sana." Alijitetea Murugi akidai kuwa kwa mda wa miaka kumi na bado hamuamini hata.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be