PATANISHO: Mume wangu hataki nipatane na babangu mzazi

Bwana Okoth alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe bi Mercy ambaye alitoweka kwao nyumbani.

"Mke wangu alitoka jumapili iliyopita baada ya kukosana kwa mambo madogo ya nyumbani na akaamua kuondoka. Nilimkwaza kidogo kwa mazungumzo nilipomuambia kuwa asipoamini ninayofanya basi anaweza nipa nafasi kidogo." Alieleza Okoth akidai kuwa yeye ni msanii ambaye hurudi nyumbani akiwa amechelewa.

Isitoshe nilikuwa namlazimisha awe anaamka nikifika na tupige story na nikama hakufurahia hilo jambo." Alieleza jamaa akidai kuwa wawili hao bado hawajajaliwa watoto lakini mkewe aliingia kwa ndoa na mtoto.

Mume wangu amekuwa mwenye ugomvi na mimi nimekuwa bread winner nyumbani na mahali nafanya kazi nafanya na mamake, na kila time mshahara umeingia mamake humuambia so inakaa nikama kitu wamepanga. Alieleza bi Mercy.

Ilifika wakati nikamwambia nitalipa school fees ya mtoto na nifanye shopping juu vitu kama nyumba mwanamke akifanyiwa na mwanaume hufeel so good lakini yeye husema eti hiyo nyumba pia mimi hulala, na akifanya shopping pia sisi hulala. Aliongeza Mercy akidai mumewe huwa hapendi akipatana na babake kanisani.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be