Patanisho: Nilimpiga bwanangu na meza nikampasua kichwa na naomba msamaha

Gidi na ghost
Gidi na ghost
Je ushawahi kuwa kwa hali hii? Tunaikemea sana mambo ya vita kwa ndoa. Katika kipindi cha Patanisho hivi leo, Bi Mbone aliweza kupiga simu studio akiomba apatanishwe na bwanake Gilbert.

Kulingana na Bi Mbone, wapendwa wawili hao walitengana mwaka jana, wakti walivurugana nyumbani.

Mama Mbone alieleza kilichofanika, na kuibua kuwa bwanake ndio alianza vita kwa kumpiga na chuma, na katika karakati hizo alichukua meza na kumgonga nayo, na akapasuka kichwa.

Haya yalitendeka 2016 mwezi wa pili, na hatujaongea alisema Bi Mbone, 'Najua mahali ako na bado hasemi chochote baada ya kusema tutasuluhisha maneneo haya'.

'Hiyo siku tuliweza kuchapana. alikuja nyumbani na wakati huo stima ikapotea, tuakanaza kubishana ni nani atanunua bulb, na hapo ndipo tulivurugana'.

Bi Mbone wa miaka 25, na Bwana Gilbert wa miaka 28, walitengana na hadi wa leo hawajawahi rudiana.

Doh!

Gilbert; 'Sasa unajua wakati tulipigana yeye ndiye alitoka na akaenda kuishi kwingine. Auntie yake ndio alimwambia achukue vitu zake. Alikuwa mke wangu lakini hapo siwezi rudiana na yeye, na iishe hapo.Unajua kiburi ndio ako nayo.

Bi Mbone; naomba msamaha,

Gilert ; 'Alinipeleka kwa chifu, na kusema atabadilisha majina ya mtoto wetu. alinunua sumu na wakati alifikiria kuniwekea sumu. Aliniarifu ni ya kuuwa panya lakini nilimshuku sana.

Skiza kand ifuatayo upate uhondo;