patanisho.fresh

Patanisho: Nilitoweka Kwangu Na Kumuacha Mke Wangu Na Mtoto

Jonah alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe ambaye waliwachana mwaka wa 2016 baada ya jamaa kuhama kwao na kumuacha mkewe Nakuru.

‘Tulikuwa tumeona kutoka 2013 na ilipofika mwaka wa 2016 tukakumbwa na mashida kadhaa ya kindoa na hapo nikaondoka Nakuru na kuhamia Kiambu.” Alielezea akidai kuwa wawili hao wana mtoto mmoja.

Anadai kuwa mkewe yuko tayari kurudiana naye lakini waishi Naivasha ila asiende kwa Jonah kiambu jambo ambalo yeye mwenyewe hataki.

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments