PATANISHO: Nimekuanika redioni ili ujulikane hukuli 'mali' yako vizuri

Chelegat alituma ujumbe akiomba ndoa yake iokolewe kwani anahisi kuwa inasambaratika.

"Mume wangu ndio alianza kunilenga kwani akija nyumbani anamaliza wiki mbili na hata hashughuliki nami na namshuku ana mpango wa kando, nimejaribu kuzungumza naye na hadai kuongea." Alieleza Chelegat akidai kuwa mumewe hadi hataki chakula chake na isitoshe kila mtu alala kitanda chake.

Alipopigiwa simu bwana Ken alidai kuwa hana shida yoyote na mkewe.

"Mweleze mimi sina shida yoyote na kuwa bado tuko pamoja naye." Alijieleza.

Tumeishi kwa nyumba kama ndugu wawili au wanaume wawili, nimekuanika leo rediono ili ujulikane hukuli mali yako vizuri," Alijietetea Chelegat.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be