gidinagghostapril20th

PATANISHO: ‘Nimepatiwa Wiki Moja Nitafute Mke Wangu Aliyetoroka Juu Ya Mpango Wa Kando’

 

Kama ilivyo desturi, ni wakati wa Patanisho katika kipindi cha Gidi na Ghost asubuhi na aliyetuma SMS ni Joseph Member akiomba patanisho.

Joseph anasema bibi yake alitoroka nyumbani bila sababu.  na anaomaba asaidiwe kwa maana hata wazazi wake hawajui pale aliko.

Bwana Joseph wa miaka 28, alioa Bibi wake Naomi wa miaka 25  na wana watoto wawili.

Joseph alisema mke wake alitoroka mwezi mmoja iliyopita, na alipotoka kazini hakuweko. alipata amebeba vitu zake na simu yake iko mteja. wazazi wake wamemtafuta, na labda wanafikiria ni yeye aliye muua. Amepewa wiki moja amtafute au atatiwa mbaroni.

Alisema; ‘Nilifikiria venye anapenda radio jambo anaweza chukua simu yenyu’. Tulikuwa tunaishi Nairobi an kazi ya shetani ilivyo, nilikuwa na mpango wa kando, na akagundua’.  Nilichagua yesu baada ya yeye kutoroka. Saa hii mimi niko na mpango wa kubatizwa. Tume kaa kwa ndoa miaka nane na tuko na watoto wawili niko nao kwangu’.

Mke wake ametoweka siku moja, na hashiki simu ya wazazi wao na ikaenda kuwa wanafdhani ni kwamba huyu jamaa ameua Naomi.

Patanisho lengo letu ni kupatanisha wawili waliokosana, kila siku. na kuthibitisha yuko, Gidi akampigia simu lakini Naomi akakata simu. Kazi ngumu hapa. Lakini Patanisho hua tunajaribu mpaka mwisho, huenda kama hataki kuzungumza na Joseph.

Naomi; ‘Alinikosea sana, nilimfumania na rafiki wangu wakiwa kwa jirani wakishiriki mapnezi. Na huyu ni mama ambaye ni rafiki wangu kumb anashiriki na mume wangu. Baada ya kuwapata, niamua kutoroka, akae kivyake.

Joseph; yenyew ni ukweli. ni mabo ya shetani..devil…aki devil aliyeniingilia..ndio maana nataka kumwomba msamaha.

Gidi; Hebu omba msamaha tafadhali.

 

 

 

 

 

Photo Credits: @radiojambokenya

Read More:

Comments

comments