gidinaghostFriday

PATANISHO: Sammy anadai ameshindwa na kupata watoto juu ya kufungwa

Je kuna kitu kama kufungwa? Umekaa mda mgani kwa ndoa na hujawahi pata watoto?

Katika patanisho hivi leo, Sammy anadai ameshindwa na kupata mtoto juu ya kufungwa, na aliomba mwana dada Liz waliye tengana mwaka mmoja uliopita, amwombe msamaha ili aweze kusamehewa na mwanadada huyo amfungue.

Wapenzi wawili wa zamani ambao tayari wametengana Bi Liz, tayarai ameolewa kwingine, na bwana Sammy alipata mke wa kwanza na baada ya mwaka moja akatoroka na akapata wa pili, lakini wamejaribu kupata watoto bila kufanikiwa. Sammy anahisi ule mke wa kwanza aliambia Sammy hatawahi pata mtoto kwasababau aliwacha aliyempenda.

Ni laana au nikufungwa?

Je kama umewahi pitia masaibu haya, ilikuwa namna gani?

Je kuna kitu kama kufungwa? Ume kaa mda mgani kwa ndoa na hujawahi pata watoto?

Skiza kanda ifuatayo;

 

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments