PATANISHO: Shetani aliniingia nikampiga mke wangu

new.pata
new.pata
Bwana Thomas alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe mama Velma ambaye walikosana mwezi uliopita.

Ilikuwa hivi, bibi alikuwa ameenda nyumbani kwa matanga lakini aliporudi hakuja nyumbani wala alienda kwa ndugu yake huko Dandora. Lakini yeye huniambia atarudi mara tunapatana tunazungumza lakini bado sijajua decision yake. Alieleza Thomas.

Kabla ya matanga tulikuwa tumezozana na nikampiga kwa hasira. Mara ya mwisho kuzungumza aliniambia atarudi November na nikajaribu kumwambia arudi hivi karibuni.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka kumi na wamejaliwa watoto wawili ambao tayari wamehamishwa shuleni.

Juhudi zetu za kumpata mama Velma hazikufua dafu.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be