PATANISHO: Sijui kwenye mko wangu yupo kwani amekuwa akinizimia simu

Jamaa alituma uumbe akidai kuwa amekosana na mkewe bi Lucy, ambaye alitoweka mwezi wa Disemba akidai kuwa alimpiga baada yake kuwa na tabia ya kulala nje.

Mke wangu alikuwa na shida ya macho na alikuwa anaenda appointment after ya two weeks. Nikimpa fedha aende hospitalini huzima simu na kulala nje. Sasa nikakasirika nikampiga." Alieleza akidai kuwa mkewe alimdanganya alikuwa hospitalini na akamtumia elfu kumi ila alikuwa anadanganya.

Wawili hao wamejaliwa watoto wanne waliofanikiwa kwa ndoa ya miaka kumi na moja.

Hata hivyo bi Lucy hakujibu simu zetu