Paul Kobia kajenga jumba hatari sio masihara! Duh

Paul Kobia ni kati ya washukiwa ambao wanafuatwa na wanapolisi ili kiutegua kitendawili cha sakata iliyogonga vichwa vya habari nchini kuhusu dhahabu feki. Polisi leo jumatano walitembelea kwake River Side Drive ili kuendesha juhudi zao za upelelezi.

Soma hadithi nyingine:

Mwenyeji Paul Kobia alikuwepo kipindi maafisa wa polisi walifika katika jumba lake hilo. Watu kadhaa waliokuwepo walikamatwa na kuhojiwa na maafisa hao.

Maafisa hao walifika pale mwendo wa saa nne na kuvunja lango kuu baada ya wafanyakazi kukosa kutii amri ya kufungua.

Soma hadithi nyingine:

Mwanabiashara huyu maarufu nchini sio mara ya kwanza kuhusika katika skendo zenye utata. Mwaka wa 2007 aliwahi kuhusika katika kumkamata kwa nguvu na kumjeruhi mfanyibiashara kutoka nchi ya Kongo.

Cha msingi hapa ni kukusogezea madhari ya pale uone mjengo sio mjengo: