Pesa tamu! Tazama picha za nyumba yake Anne Waiguru

Wakenya kwenye mitandao ya kijamii walipatwa na mshtuko baada ya kuona picha za nyumba yake Anne Waiguru iliyo kwenye mtaa wa Kitisuru.

Inasemekana kuwa, nyumba yake Anne iligharimu shilingi milioni 150.

Wakenya waliweza kushuhudia uzuri wa hii nyumba baada ya wakubwa wa kundi la Ethics and Anti-Corruption Commission kuenda kwenye nyumba za viongozi 12 wa National youth Services.

Waiguru alikuwa mwingoni mwa viongozi walitembelewa na kundi hilo la Ethics mwaka wa 2015.

Tazama picha zifuatazo.