(+PICHA) Bridget Achieng amuekea mwanawe sherehe ya siku ya kuzaliwa

Bridget Achieng aliweka sherehe ya kupigiwa mfano ili kusherehekea siku ya kuzaliwa mwanawe Sekani anapotimu mwaka moja tangu azaliwe.

Ni sherehe ambayo ilihudhuriwa na familia na marafiki zake Achieng na wana wao katika mkahawa wa kifahari nchini. Bridget anafahamika sana kwa sababu ya taaluma yake ya uanahabari.

Katika ujumbe wake aliandika,

“Today we turn up for you my son ….happiest birthday my son @sekani_rich_ making memories is key." Aliandika Achieng.

Katika ujumbe mwingine Bridget alielezea mwanawe Sekani kama mwenye sura nzuri kamwe.

Happy birthday to the most handsome One year old on earth I wish you sekani_ rich loong life and the blessing of the lord that maketh rich may you grow up to become ALL that God created you to be may God always watch over you and guide your steps mama loves you can’t wait to spoil you …..and to make memories with you my main man ❤❤❤." Aliandika .

Mwaka jana Achieng alitangaza kuanzisha biashara kwa sababu ya mwanawe Sekani hadi akatambulisha uso wa baba Sekani katika mtandao wa kijamii.

Baadhi ya picha nikama vile zifuatazo;