(+Picha) Mwonekano wa kitambo wa Chipukeezy, picha za sasa

69320657_1526719620815424_7056451118186775400_n__1569588928_10320
69320657_1526719620815424_7056451118186775400_n__1569588928_10320
Fundi wa ucheshi nchini Chipukeezy amechapisha picha zake za kitambo kwenye Insta.

Picha hizi zinamwonyesha mwonekano wake wa kichochole kabla hajakuwa maarufu.

"Eeeh lakini enyewe pia nimekapitia 😂😂😂😂 mungu ni mwema na tunasonga tu Pole Pole tutafika."

https://www.instagram.com/p/B237ggHBSb5/

Haya yanajiri baada ya kutangaza kuwa ataanzisha shoo yake ya YouTube.

Katika shoo hii, Chipukeezy anapania kuinua talanta za vijana wanaoboea katika tasnia ya ucheshi.

Soma hadithi nyingine;

Uamuzi huu aliufanya baada ya mkataba wake na Ebru kuvurugika.

Eric Omondi, Kartelo,Stivo Simple Boy ni kati ya watu waliosimama kidete na Chipukeezy wakati huu mgumu.

Uongozi ulimtaka akome kabisa kumshirikisha Kartelo katika kipindi maarufu Chipukeezy Show kinachoruka kupitia runinga hio.

Huu ndio mwonekano wa sasa wa Chipukeezy,

https://www.instagram.com/p/B23XOdUBC4G/

Kulingana na maamuzi yake, mcheshi huyu anahoji ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha amekuza talanta za wasanii wachanga na kuwa hawezi kabisa kushawishiwa na mtu kuacha .