Picha za Naftali Kinuthia kwenye mtandao wa jamii wa Facebook wiki kabla ya mauaji ya Ivy Wangechi

Ivy Wangechi alizikiwa juma chache zilizopita, sasa korti kuu ya stahili kutoa maamuzi yake kuhusu kuachiliwa kwa dhamana kwa Naftali Kinuthia mwezi wa Juni tarehe kumi na saba, huku akisubiri kesi yake iskizwe ambapo anasingiziwa kumuua mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha matibabu cha Moi.

Mwanasheria Stephen Githinji alitoa uamuzi siku ya Jumatatu baada ya kuskiza maombi la Kinuthia kupitia kwa wakili wake Mbiu Kamau ila iliskumwa kutoka May tisa.

Afisi ya DPP na wakili wa familia ya muathiriwa walilipinga ombi hilo na kuteta kuwa mshukiwa anaweza hitilafiana na mashahidi ama hata kutoroka.

Wakili wake Naftali hata hivyo alimweleza Mwanasheria Githinji kuwa dhamana ni haki iliyo kwenye katiba na hivyo haipaswi kukataliwa isipokuwa kama kuna sababu mzuri sana.

Aliongezea kuwa Naftali amehitimu kupewa dhamana na anafaa adhaniwe kuwa hana hatia hadi watakapo toa ushahidi wa kutosha.

'Naftali hatapewa dhamana ikiwa tu ata k shubali makosa, korti ikimpata na hatia ama katiba ibadilishwe na kuweka sababu yake kutopewa dhamana,' Mwanasheria alisema huku akiyataja msingi ulioletwa na mhukumu kuwa flimsy.

Wakati wa mwisho Naftali alikuwa na mawasiliano ni kupitia posti zake kwa mitandao za kijamii.

Katika posti moja ya Instagram, ya miezi kadhaa, Naftali aandika:

"kwa sababu mandugu hawaachani waelekee gizani peke yao''

Kwenye ingine ,Naftali aliandika hili chini ya picha aliyokuwa amepiga

''heri achukue hatua asiyojua matokea kuliko kumea kutu''

Kwenye Facebook yake, Naftali anasema alihudhuria shule kuu ya Nyandarua na kwenye uhusianio wake alisema kuwa

''siko kwenye mahusiano yoyote''