zari-and-bae

Picha za nyumba ya kifahari ambayo Zari anahamia

Zari Hassan anakataa mahusiano yote na Diamond Platnumz anapojitayarisha kutoka nyumbani mwa Diamond na kuelekea kwake huko Pretoria, Afrika Kusini.

Patanisho: Amekuwa mkali kama simba ninapoitisha tendo la ndoa

Mwaka jana, Zari alivamiwa na wachochezi na kwambiwa ahame nyumba aliyotunikiwa na Diamond kama zawadi mwaka wa 2016.

Hata hivyo, Zari atakuwa anahamia kwa nyumba yake ya kifahari hivi karibuni.

Zari aliendelea kusisitiza kuwa nyumba ya Diamond ambayo alidai kuwa alinunuliwa milioni 46, sio yake bali ni ya watoto wake.

Wanawake 5 mashuhuri ambao ni warembo

Zari aliendelea kusema kuwa
Ataondoka kwa nyumba ile mwezi wa Septemba kwa sababu inachukua wiki sita hadi nane kuandikisha na kuhamisha hati ya hati kwani inaweza kuja mapema au baadaye.

Zari pia alibainisha kuwa tayari ana nyumba anazoweza kukodisha au kuishi huko akipenda.
Baadhi ya picha za nyumba hiyo.
zari (2)

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments