'Punguza makeup!'Mashabiki wamkosoa Size 8 huku DJMo akimtetea

Screenshot-from-2020-07-31-130937
Screenshot-from-2020-07-31-130937
Msanii wa nyimbo za injili Size 8 amekuwa akipikea ukosoaji kwenye mitandao yake ya kijamii kwa jambo moja au lingine, hivi majuzi msanii huyo alikosolewa na shabiki wake anayefahamika kama Joan huku akimshauri aishi kulingana na neno la Mungu.

"PUNGUZA MAKEUP KWANI MUNGU ANARINGIWA? BE STRAIGHT FORWARD TO GOD ACHA KUBAMBA WATU JUST BE HOLY AND SING TO THE LORD NOT WEARING MAKEUP LIKE THAT." Aliandika Joan.

Mumewe msanii Size 8,DJ Mo hakulaza damu bali alimtetea mkewe na kuambia shabiki huyo kuwa,

"PELEKA UTOMBOY KWENU…"

Awali DJ Mo alikiri kuwa anapenda mkewe akiwa amejipodoa na hana shida na upodozi wake.

https://www.instagram.com/p/CDQmGZTF7je/