Rais Uhuru asema millioni 200 kulipwa wanamuziki kila mwezi

Baada ya msanii Willy paul kumwandikia rais barua kupitia mtandao wa kijamii wa instagram akimsihi awakumbuke wanamziki wa Kenya wakati wa janga hili la corona.

Rais Uhuru Kenyatta alipokuwa akipeana au akihutubia wananchi alisema kuwa millioni,2, zimetengwa kwa ajili ya wanamuziki wanaowatumbuiza wananchi wakati huu.

Baada ya ahadi hiyo wanamuziki sasa wamejawa na furaha baada ya uamuzi huo wa rais.

“As a government we will continue to take the necessary measures to cushion kenyans against the impactof current pandemic.” Uhuru Alisema.

Aliendelea na mazungumzo yake na kunakili kuwa,

“I am pleased to announce that the ministry of ICT, innovation and youth affairs in collaboration witth kenya copyright board

Collective management organizations have established a frame work to ensure full transparency for artist earnings.” Alizungumza.

Uhuru alisema kuwa millioni mbili zimetengwa ili kushughulikia wasanii wa muziki humu nchini.

“My adminnistration has projected that total  of 200 million every month will be paid to musicians through the system and other platforms.” Uhuru Alizungumza.

Akimalizia hotuba yake alikuwa na haya ya kuzungumza.

“I further direct the ministry of sports culture, and heritage to avail an additional support of 100m from the sports fund to our artist

Actors and musicians, during the period of the covid-19 pandemic.”