RIP! Mwanawe aliyekuwa meya wa Nairobi ajitia kitanzi

Polisi wanachunguza  kisa ambapo mwanawe aliyekuwa meya wa anairobi Dick Wathika  alijiua katika nyumba yao katik eneo la  Windsor.

Marehemu aliyetambuliwa kama  Kanyiri Wathika  alipatikana ameaga dunia katika chumba chake baada ya kudaiwa kujitia kitanzi .mwili huo umepelekwa katika hifadhi ya maiti . Wathika aliaga dunia mwaka wa 2015 baada ya kuugua kwa muda mfupi .

Alikuwa pia mbunge wa zamani wa eneo bunge la Makadara .