'Ruto hayuko serikalini aliondolewa kutoka kwa mkutano wa maana,'Dennis Itumbi

-ark9kpTURBXy8wODI4NjlmN2NiN2JlNDk4MDM2MGEyMTliYzk2NjFhZC5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB
-ark9kpTURBXy8wODI4NjlmN2NiN2JlNDk4MDM2MGEyMTliYzk2NjFhZC5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Dennnis Itumbi akiwa kwenye mahojiano na runi ga moja humu nchini alifichua jinsi naibu rais William Ruto alitolewa katika mkutano na kusema kuwa hayuko serikalini.

Huu akieleza hayo pia alisema ya kwamba Ruto alitolewa kutoka kwenye mkutano wa kuzungumzia jinsi nchi itakabili janga la corona.

Itumbi alisema kuwa alikuwa hapo wakati naibu rais Ruto alikatizwa akizungumza kwenye mkutano huo.

"NIlikuwa hapo mtandao ulikuwa thabiti na wenye nguvu, ulitumiwa Alhamisi kwa muda wa saa tatu na haukuwa na twashishi yeyote kwanini utafikiria mkutano na magavana ndio mtandao ulileta shida

Huu ulikuwa mkutano wa magavana na ulikuwa umesimamiwa na jumba la Delta kuna timu ya IT ambayo iko mahali pale na nafikiri kuna mtu alikata

Sina uhakika laikini mtaalam anaweza kukuambia kuwa mtandao ulikatwa." Aliongea Itumbi.

&feature=emb_title

Itumbi pia alidai kuwa Ruto hayuko serikalini kamili na uwepo wake uliotambuliwa ni kashfa tu.

"Hayuko serikalini, yuko serikalini kwa jina tu na wala si kwa kazi, ni kawaida ya kila mtu kuona ripoti kutoka kwa kamati ya waziri Matiang'i huwa haimfikii huwa wanaketi na kuandaa mkutano bila kumharifu

Na akiwa katika mkutano wanazima." Itumbi Alizungumza.