Hali imekuwa ngumu kwake huku mitandao ya kijamii ikimkosesha muda wa kuweza kuomboleza kwa amani na hata wakati Fulani alifichua kuchoka na maisha .
Marya wakati mmoja pia alisema alikuwa amekosa imani na mola .Wengi walimkashifu kwa kauli yake hiyo na kufanya hali kuwa mbaya hata zaidi .
Jana Prude aliweka mtandaoni picha yake akitanasamu ,shabiki wake mmoja Esther aligundua kwamba alikuwa amereja kwa tabasamu na kusema chini ya picha hiyo
She is smiling again….ahsante Jehovah!
Marya Prude alijibu akisema
@esther.kalekye Yes,I’m back
Esther aliendelea na kuandika
“@maryaprude Amen let nothing steal that joy away from you. These too shall pass. Ahsante Mungu!”
Mashabiki wake walifurahi kumuona akiwa amerejea kwa uchangamfu na wakamhimiza adumishe furaha yake .
Willis na mkewe walmpoteza mtoto wao Baby Adana disemba tarehe 31 mwaka wa 2019 .Ni Willis ndiye aliyetoa habari hizo kupitia instagram