Sonko Mjanja! (+ Video)Tazama magari ya Sonko yenye picha za kuunga mkono BBI!

Sonko 4
Sonko 4
Gavana wa Nairobi Mike Sonko ni mwanasiasa    mwenye ujanja wa kipekee na ametumia mbinu nyingi kujinasua kutoka  kwa  changamoto zinazomkabili .Baada ya kusakamwa na kesi za ufisadi kortini  na kulazimika kusamilisha baadhi ya majukumu yake kwa serikali kuu.

Sonko huenda amepata njia ya kuweza kujirejeshea tena  ‘hadhi’ na kukubalika machoni pa ‘wenye’ nchi iwapo hatua yake ya kutafuta magari kadhaa kifahari na kuyaweka picha na jumbe za kuunga mkono BBI ni jambo la kuangaziwa .Tazama video ya magari hayo .

https://twitter.com/YusufJumaKenya/status/1233707911475605506

Lakini je,mbinu zake zitafaulu? Ni muda tu utakaosema ukweli .