Staa wa nyimbo za injili akiri kushiriki ushoga hadharani. Wengi wapigwa na butwaa

_108518801_b1f85325-8834-4c68-a2bb-af401fb9eb50
_108518801_b1f85325-8834-4c68-a2bb-af401fb9eb50
Staa wa nyimbo za injili nchini Rwanda amefunguka na kuweka wazi kuwa yupo katika mapenzi ya jinsia moja. Albert Nabonibo, 35 amesimulia bayana kuwa iwapo jambo hilo lilikuwa ngumu kulitamka na kupasua mbarika huenda likamtosa kama matatizo kutoka miongoni mwa watu.

Ni mwiko kushiriki mapenzi ya jinsia moja katika jamii za mataifa mengi Afrika. Albert ndiye raia wa kwanza nchi hiyo kutangaza hali yake tata.

Soma mengine huku:

Tamko hili limezua utata na mshangao mkuu kwa wafuasi wake. Sheria za katiba nchini humo haibanii watu kushiriki ndoa za jnisia moja ila itikadi za wanyarwanda zinakashifu kitendo kama hicho.

"Ukweli ni kwamba kuna watu wengi kama mimi makanisani ni vile tu wanafanya siri mahusiano yao kwa sababu ya kuhofia kuhukumiwa na waumini wengine na jamii nzima kwa ujumla," Albert.

Soma hapa pia:

Msanii huyu sasa anaomba wananchi nchini humo kukumbatia mapenzi ya jinsia moja.