Sauti-SOl-696x545

Tazama picha za wapenzi wa wanamziki wa Sauti Sol

Kundi la Sauti Sol lina wanaume ambao wasichana wengi huwa wanawatamani kwa sababu ya ugwiji wao wa uimbaji.

Hata hivyo wanaowatamani hawana bahati kwa sababu wanaume hawa wote wameshachukuliwa, maanake waume hawa wana wapenzi isipokuwa Chimano.

Katika shamra shamra za muziki wao, mabinti wengi walikuwa wanarusha nguo zao za ndani kwenye jukwa huku wakipiga kelele na kusema jinsi wanavyowapenda wanaume hawa.

Wanamziki hawa, ikiwemo Bien walifunguka waziwazi na kuwachumbia wapenzi wao.

Bien alimchumbia mke wake Chiki mbele ya halaiki ya watu.

”Mlinikereketa maini!” Zari ahudhuria mkutano kwenye Jeans baada ya kuibiwa na KQ

Polycarp naye alifunga ndoa za maisha na mpenzi wake wa maisha huku Fancy Fingers akifanya vile vile.

 

Savara, ajulikanaye sana kama Mudigi na mashabiki wake, ana mpenzi pia jina lake Yvonne Endo.

Mabinti hawa hujiburudisha na kufanya mambo mengi pamoja kwa sababu waume wao ni wanamziki na marafiki wa chanda na pete.

Makahaba waeleza jinsi wanavyovuna donge nono huku wakikabiliana na changamoto

Zaidi ya hayo, vidosho hawa huitana malkia na mara ya mwisho wapiga picha wa Radio Jambo waliwaona ni wakati wa sherehe ya Oktobafest

Tazama picha ya warembo hawa;

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments