Tazama ujumbe wake Mondi kwa mamake Tanasha

Chibu Dangote kutoka usafini anaonekana kalewa zaidi na penzi lake Tanasha mrembo kutoka hapa nchini. Tanasha sasa inakisiwa yupo na ujauzito wake mkurugenzi huyu wa WCB.

Soma hapa:

Wikendi iliyopita mrembo Tanasha ambaye alimrithi Mondi kutoka kwa kipusa wa nchi jirani ya Uganda Zari The BossLady alichapisha picha yake Diamond Platnumz kwenye mtandao wake maridhawa wa insta. Mondi alipendezewa zaidi na kuvutiwa na mamake Tanasha na kuongeza comment ya kizazi sana katika posti hiyo.

https://www.instagram.com/p/Byxq2glA_Pe/

Tanasha ni mtangazaji katika kituo kinachorusha matangazo kutoka mtaa wa Westlands jijini Nairobi kinachokwenda kwa jina NRG.

Soma hapa hadithi nyingine:

Mrembo huyu pia ni muimbaji na kwa sasa anatamba na kibao hatari kinachofahamika kama Radio. Hii ni goma yake ya kwanza na inapiga views hatari katika mtanda huo.

Itazame hapa: