TBT:Wasanii wa kike wa nyimbo za Reggae unapaswa kuwajuwa

70433687_1519631588179614_2569166103716797544_n(1)
70433687_1519631588179614_2569166103716797544_n(1)
Hawa walienda wapi, muziki wa reggae unapendwa sana na watu wengi, muziki huu ulianza enzi za kama huku ukifuatalia utamaduni.

Nyimbo za reggae zinaaminika kama kuleta watu wa tamaduni tofauti pamoja.

Si wote wanaweza kuimba nyimbo hizi bali kuna wanawake ambao wamejikakamua na kuimba nyimbi hizi na kupendwa sana na mashabiki wao;

Rita Marley

Si wote ambao wanaweza fanya kazi ambayo waume wao walikuwa wanafanya walipokuwa uhai, lakini kwa Rita ni tofauti hii ni kwa sababu baada ya mume wake Bo marley kuaga Rita aliendeleza muziki wa mumewe.

Sophia Brown

Kabla ya kujulikana sana katika sekta ya usanii Sophia alituzwa tuzo la kuwa mwanamke bora mwakani katika sanaa ya wasanii chipukizi

Kwa sasa anajulikana sana kwa sababu ya nyimbo zake ambazo zinawatumbuiza wengi.

Tanya Stephens

Alianza kuimba nyimba za reggae kuanzia mwaka wa 90's alijulikana kwa sababu wa wimbo wake wa  “Yuh Nuh Ready Fi Dis Yet” 

Ni mwanamuziki wa kutoka nchini Jamaica.

Macka Diamond 

Anajulikana kama Lady Cham akianza onyesho lake kwa hakika watu wote watajitumbuiza vilivyo

Lady Saw

Alizaliwa mnamo mwaka wa 1972, ana mashabiki wengi sana katika uimbaji wake.

Alifahamika sana kama malkia wa nyimbo za reggae wakati huo, na uchezaji wake katika nyimbo zake.

Shauna McKenzie, aka Etana

Mmmh akishika kipasa sauti kwa hakika utajua amebarikiwa na kipaji cha kuimba,aliteuliwa kama mwanamke bora wa kiafrika wa nyimbo za reggae mwaka wa 2008.

Audrey Gordon

Nyimbo zake zilifahamika kama reggae za injili, na zilipendwa na watu kwa sana, sauti yake ni ya kutoa nyoka pangoni.