Thought Of The Day By Yusuf Juma, 15th December 2016

Siri ina gharama! Kimya cha kuificha kinachoma kila wakati, lakini hofu ya matokeo yake inakubana.