Toboa Siri : Baba wa Kambo na kijana wake wananipiga kuni

Habari za wanadada au vijana kushiriki mapenzi na baba au mama wa kambo, isitoshe pia shemeji wao zimekuwa si haba humu nchini.

Iwe mashinani au mitaa ya vibanda au pia katika miji mikuu, habari hizi huzidi kuibuka kila kuchao.

Katika kitengo cha 'Toboa siri' ndani ya Mbusii na Lion teketeke, mwanadada mmoja aliwashangaza wengi alipofichua kuwa hajakuwa akishiriki mapenzi na baba wa kambo tu, ila pia amekuwa na uhusiano na ndugu wa kambo pia.

Msichana huyo wa miaka, 21, alifichua kuwa amekuwa na uhusiano na jamaa huyo mwenye miaka, 45 kwa kipindi cha miaka mitano.

Hata hivyo anasema mwanawe alianza kumtongoza na wawili hao sasa wana uhusiano wa kimapenzi. Kinachompa kiwewe ni kuwa kijana huyo amemshauri watengane na baba wa kambo ili wawe pamoja.

Anasema anampenda yule kijana lakini anamtumia mzee yule kama sponsor.

Siri kuuu ni eti mamake anajua kuwa mwanadada ana uhusiano na ndugu wa kambo lakini hajui ana uhusiano wa kimapenzi na bwanake.

Soma usimulizi wake.

Mimi nilikuwa napush na bwana ya mamangu, yaani baba wa kambo. Alinitongoza na nikakataa lakini alianza kunipea dooh mob na ikabidi nimeingia box.

Jamaa huyu alimuoa mamangu nikiwa na miaka 6 na ndiye amenilea hadi sahii. Alianza kunipiga kuni nikiwa na miaka 16.

Tena mamangu alipo olewa, yule jamaa alikuwa na kijana ambaye ni mamangu alimlea, sasa imagine na push hadi na huyo boy. Ameniambia niwachane na babake na nimejaribu lakini babake hataki.

Mamangu na watu wengine wanajua story ya huyu kijana lakini hawajui kuhusu huyu mzee. Kijana ananishughulikia vizuri lakini baba wa kambo ni kama tu sponsor, napenda huyu kijana lakini sipendi huyo babake.

Haya ndio maoni kutoka mashabiki wa radio Jambo.

Nancy: I yo ni ushetani,,,,anafaa aachane nawote ju cipoa,,kusema ukweli,,,
Blessed emmy: Jeez and u are laughing as if it's funny, you better style up and get crias young gal😥😥😥😥
Alice Kirika: Waaah this is more than satanic lol

Maureen: Shetani ako ndani mwako wewe mwanadada ..Yani unacheka bila ahibu wewe

Helen Mwende: if msichana hatapata ugojwa atamaliza familia yote