Vera-Sidika-transformations-696x418

‘Tunajua unataka kuzaa sasa’ Vera aambiwa baada ya kubadilisha rangi ya ngozi yake

Watu mashuhuri wa Kenya watafanya lolote ili wapate tahadhari ya umma, na Vera Sidika, mmoja wao, ambaye amejifunza ujuzi wa kuwafanya watu kuzungumza juu yake.

Vera aliyechapisha picha yake kwenye mtandao wa instagram, alionekana tofauti na ‘mzungu’ wa kawaida tunayemjua.

http://Lillian awashangaza mashabiki wake na mtindo wake mpya wa nywele

Vera.Sidika.darker.complexion

Alitoa maelezo ya picha hapo iliyo juu,

Kamwe usifafanuliwa na maisha yako zamani. Lilikuwa funzo sio hukumu ya maisha.
#BACKTOBLACK #MISSEDMYMELANIN #STILLBEAUTIFUL #BLACKBARBIE.

Hata hivyo, wengi bado hawana hakika kwamba Vera amebadilisha rangi yake ya ngozi.

Wengi wanasema alitumia bidhaa za kemikali za tanning.

Shabiki mmoja anayetambulika kama Sagana alitoa maoni juu ya picha ya Sidika akisema

TUNAJUA UNATAKA KUZAA SASA, NA ATATOKA NA COLOR ORIGINAL😂😂😂.

Vera naye alimjibu,

WHAT’S WRONG IN THAT? YES NATAKA KUZAA AND YES ATATOKA ORIGINAL.SO WHAT?

Baadhi ni picha zake Vera kabla ya kubadilisha rangi ya ngozi yake.

60473107_419357422178382_5717966260994033446_n (1)

64500383_2402811063306675_6178613680038509204_n (1)

62546863_2080062032298954_7080930934744230222_n (1)

64609319_2328771354116021_350349348556192852_n (1)

 

 

Photo Credits: instagram

Read More:

Comments

comments