Ujumbe wa Tanasha kwa mtoto wake, aeleza anavyojihisi

678B9B7E_5FC0_42CE_9912_0742D7DBA98A__1570106964_17006
678B9B7E_5FC0_42CE_9912_0742D7DBA98A__1570106964_17006
Mpenzi wa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platnumz ana furaha riboribo baada ya kupata mtoto wa kiume.

Huyu ni mtoto wa kwanza wa mtangazaji huyu wa redio.

Mama huyu amechapisha katika mtandao wa kijamii furaha aliyo nayo.

Aidha, amesimulia anavyojihisi kuwa mama.

Soma hadithi nyingine:

 Tukio la Tanasha kuzaa linatokea kama sadfa huku likitokea siku sawa na siku ya kuzaliwa ya Diamond.

Mastaa wakubwa Tanzania wakiwemo Rayvanny, Mbosso na Lavalava miongoni mwa wengine walitoa maneno yao ya moyoni na kumpongeza Chibu Dangote.

Mtoto huyu ambaye ni wa 4 wa Naseeb bado hajapewa jina.

Ikumbukwe kuwa Mondi ana watoto nje ya uhusiano na Tanasha.

https://www.instagram.com/p/B3H4OrqAADo/

"Masaa kumi na saba baada ya wiki 42, kujifungua kwa kawaida...ina msaada kwangu sana. Mimi sasa na mpenzi wangu ni mama wa kijana mtanashati mwenye afya. Asante Mungu 🙏🏽..."

Soma hadithi nyingine:

Aidha, Tanasha alimwandia ujumbe mzito mwanawe,

"Happy birthday to my son. God is good. ❤️🙏🏽"