'Ukifika mbinguni burudisha kila mmoja,' Ujumbe wa huzuni wa mteja wa mwendazake Adisa

Familia, marafiki na sekta ya maafisa wa afya wamemuomboleza Doreen Adisa aliyaga dunia kutokana na virusi vya corona Julai,10, Adisa amezikwa nyumbani kwake katika kaunti ya Bungoma hii leo.

Doreen alikuwa daktari wa kwanza kufariki kutokana na corona huku maisha ya daktari wengi yakiwa hatarini kwa ajili ya kupigana na janga la corona.

Mwendazake alikuwa katika mstari wa kwanza kuokoa maisha ya watu ili wasifariki kwa ajili ya corona, amewaacha mayatima wawili Kyla na Kyle.

Hillary Kalimi Musyoka ambaye alikuwa mteja wa Doreen amefichua mawasiliano au mazungumzo ya mwisho kati yake na Doreen.

"ADISA LUGALIKI ITS TODAY YOU ARE GOING 6 FEET UNDER KAPUMPUM. AND THIS IS HOW YOU LEFT ME HANGING. I KNOW YOU TYPED THIS MESSAGE AMIDST EXCRUCIATING PAIN BUT DIDN’T WANT TO SCARE ME OR MAKE SISTERHOOD GALS PANIC. IT IS OK,IT IS WELL HONEY. I WILL WAKE UP, WEAR MY BLACK DRESS, WEAR MY BEST MAKE UP TO STAND WITH KYLE AND KYLA,SIT HERE AND THINK ABOUT YOU BECAUSE I CAN’T DO MUCH AS PER MOH DIRECTIVES. BUT INYAA NDINDA NO SAWA. FARE THEE WELL B…" Aliandika.

Huku akinakili ujumbe huo aliposti picha aliokua naye wakati wa mwisho na kuandika ujumbe ufuatao,

"ADISA LUGALIKI WHEN YOU REACH HEAVEN YOU KNOW THE DRILL. ENTERTAIN EVERYONE THERE…TUTAONANA BADAE."