Usicheze na Zari ,utakula bonge la jibu!

Zari Hassan ana ufuasi mkubwa sana mtandaoni na   penye watu wengi lazima kuna wasio na ustaarabu au waliozaliwa tu kuwa wachokozi . Akiwa na zaidi ya watu milioni 7.2  wanaomfuata katika instagram ,Zari ana kazi kubwa ya kuweza kuwathibiti .

Maajuzi wameiwka picha yake nzuri akivutia na watu wengi katika insta wakaanza kutoa maoni na kumsifia kwa urembo wake .Hata hivyo kuna mmoja aliyevuka mipaka na kumuuliza Zari iwapo ameacha kazi ya ukahaba

Zari Hakuoneana kupendezwa na swali hilo na hakuna angeyeweza kufurahia kuulizwa kitu kama hicho mtandaoni . Mtumiaji wa kaunti hiyo ya ina anayejiita  cute_naomitz  alisema , “Vipi umeacha umala*a siku hizi…”

Zari ,mpenzi wa zamani wa Diamond hakuchelea kumpa dawa yake na mara moja akamjibu –

“Tukiuza K nizako ndo zinateseka ama tunakuombaga kutusafishia?”

Zari hakukoma na akamwambia mfuasi wake mwingine –

“Utasema yeye ndio ananipanuaga migu😂”

 Tazama majibizano haya hapa