(VIDEO)! cheki boma la kifahari lake Bishop Kiuna mtaani Runda

Video inayoonyesha bola la kifahari la mhubiri Kathy Kiuna na mumewe Bishop Allan Kiuna imevuja mitandaoni.

Jamaa mmoja kwa jina Richard Kamau ameweka katika Youtube video iliyopigwa kutoka angani ikionyesha boma lake Bishop Allan Kiuna.

Aliandika, “AN AERIAL VIEW OF KENYA’S BISHOP ALLAN KIUNA’S BACKYARD AS SEEN FROM THE BALCONY OF THE MULTI-MILLION MANSION.”

Kawaida ukisaka kwa mitandao picha za mabona ya watu tajika utaona tu upande mmoja wa majumba ya kifahari.

Hizi ni baadhi tu ya picha za jumba la kifahari la Kiuna. Lakini katika video unapata kuona pande zote za jumba hilo.

Hii hapa video ya jumba hilo kutoka juu angani.