+ Video )Muhubiri tata James Ng'ang'a ajipata pabaya na 'shetani wa Gatundu'

Screenshot_from_2019_11_14_18_04_12__1573743897_97533
Screenshot_from_2019_11_14_18_04_12__1573743897_97533
Muhubiri tata James Ng'ang'a wa kanisa la Neno amejipata pabaya baada ya kukutana na muumini aliyedai kuwa yeye ni shetani wa Gatundu.

Katika video inayosambaa kwa kasi zaidi kwenye mitandao ya kijamii, Ng'ang'a anakaripiana na mwanamke mmoja anayedai kuwa ni 'ibilisi wa Gatundu'

Vidole vya mwanadada huyu ziliashiria kuwa alikuwa ameingiwa na mizimu ya kishetani.

https://www.instagram.com/p/B4zGfueldYM/

Alijiita 'shetani wa Gatundu'

Hii sio mara ya kwanza James Nga'ng'a kutamba na skendo kama hizi katika mitandao ya kijamii.

"Niambie kile unataka kwangu, wataka kunijua? aliulia pasta huyo. “Wewe ni nani? Alimkaripia Ng'ang'a

"Mimi ni shetani kutoka Gatundu, hii ndio ishara yangu," alisema mwanadada huyu